Instagram Logo

cloudstv

Clouds TV ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Clouds TV Official Instagram Account.
Follow us;
Twitter @cloudsmedialive
Facebook @cloudsfmradio
Tunakufungulia Dunia Kuwa Unachotaka

90.8K
posts
87
followers
6.1M
following

Clouds Media Group inamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikisha hafla ya kwanza ya utoaji wa Tuzo za Malkia wa Nguvu 2026 jijini Dodoma.

Tunatoa shukrani za dhati kwa Serikali ya Tanzania kupitia Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, washirika wa kibiashara, washindi pamoja na wananchi wote kwa ushirikiano wao mkubwa.

Kupitia jukwaa la Malkia wa Nguvu, Clouds Media Group itaendelea kuunga mkono juhudi za kuwawezesha wanawake nchini katika nyanja mbalimbali, kupanua wigo wa fikra na kuchochea mchango wao katika kukuza uchumi wa Taifa.

Dhamira yetu ni kuendelea kuthamini na kutambua wanawake wenye jitihada za kipekee katika biashara, ajira na jamii, wanaochangia mabadiliko chanya na maendeleo endelevu katika Taifa letu.

Jukwaa hili litaendelea kufika katika kanda zote nchini ili kuhakikisha wanawake wapambanaji wanatambuliwa, wanathaminiwa na kujengewa uwezo wa kuinuka zaidi kiuchumi na kijamii.

Kupitia fursa hii, wanawake watapata maarifa, msukumo na nafasi ya kujijenga katika fikra chanya kwa lengo la kufikia mafanikio makubwa zaidi.

MALKIA WA NGUVU 2026:
KOLEZA LEVELS.

273
30
2 weeks ago

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Clouds Media Group madam Sheba Kusaga leo rasmi amebariki uzinduzi wa jukwaa kubwa ndani ya Clouds Media Malkia wa Nguvu ambalo huanza mwezi March kila mwaka.

โ€œKatika msimu huu tunapoelekea kwenye uzinduzi wa Malkia wa Nguvu, Ofa zitakuwa nyingi na naamini kila tutakapoenda katika msimu huu Clouds itaendelea kuwa na mchango wa kuwezesha wanawake kutambulika, kutumia platform zetu katika kupeleka bidhaa zao duniani na ninaamini mwaka huu tutakuwa na mambo mengi sanaโ€

Malkia wa nguvu mwaka huu tunasheherekea miaka 10 ya kuleta mabadiliko na kumuinua mwanamke katika nyanja mbalimbali aweze ku-nyoosha.

1.8K
55
2 months ago

Katika muendelezo wa operesheni dhidi ya dawa za kulevya, Jashi la Polisi mkoani Morogoro, limewakamata watu 100 kwa tuhumza za kujihusisha na matukio ya dawa hizo.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro ACP Andrew Kantimbo, akizungumza katika mkutano wa Waandishi wa Habari mkoani humo, amesema watu 99 wamekamatwa kwa kujihusisha na utumiaji na usafirishaji wa bangi, ambapo walikamatwa wakiwa na Kilograms 118 na gramm 900 za bhangi na bunda 83 za mirungi.

Amema katika operesheni hiyo, Mtu mmoja alikamatwa akiwa anasafirisha virobaviwili vya bhangi vyenye uzito wa Kg 35 kwenye gari aina ya Nissan Patrol yenye namba za usajili DFP 6511.

Katika tukio jingine, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kupatikana na nyara za serikali bila kibali, ambapo wamekutwa na vipande 34 vya nyama za swala na Nyati, huku watu wengine 39 wakikamatwa kwa tuhuma za kuuza pombe aina ya gongo kwenye vilabu bubuvya pombe pembezoni mwa Mji Manispaa ya Morogoro.

#Cloudsdigitalupdates
#Morogoro

518
17
12 hours ago

โ€œTusichukue vitendea kazi vya wananchi, kwani hizo ni ofisi za wenzetu. Kama pikipiki au gari limetumika katika uhalifu, au mauaji, au dawa za kulevya au ubakaji hapo tuna kila sababu ya kukamata hivyo vitu kama vidhibiti.โ€ - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

Amesema hayo alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Mnenia, Kondoa mkoani Dodoma

1.7K
29
13 hours ago

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Katibu wa (NEC) Itikadi,uenezi na mafunzo (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amewataka wananchi wa Tarime Mkoani Mara kuendelea kuishi katika misingi iliyo asisiwa na baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa kuzingatia misingi ya utu, Mshikamano,Umoja bila kujali dini na ukabila Ili kuongeza chachu ya maendeleo kuanzia ngazi ya familia.

Ni katika mkutano wa hadhara wa chama hicho katika kata ya Nyamwaga Jimbo la Tarime vijijini Mkoani Mara ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa ziara ya kukagua uhai wa chama hicho,ukaguzi wa miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza baadhi ya changamoto za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi kwa kutumia Wataalamu wa idara.

Na @Hababi_23
#CloudaDigitalUpdates

1.1K
154
14 hours ago

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi ameongoza kikao maalum cha kupitia mapendekezo ya mpango wa kuzalisha umeme kwa kutumia teknolojia ya nyuklia ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kuongeza uzalishaji wa umeme nchini na kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya uhakika kwa maendeleo ya Taifa.

Katika kikao hicho imeelezwa kuwa tayari hatua mbalimbali zimeanza kuchukuliwa ikiwemo kuandaa rasimu ya mpango wa nyuklia pamoja na kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomi (IAEA).

Mpango huo unatarajiwa kutekelezwa kwa kipindi cha miaka sita hadi saba kupitia awamu mbalimbali zitakazohusisha utayari wa nchi, maandalizi ya sheria na ujenzi wa miundombinu ya kuzalisha umeme kwa kutumia teknolojia ya nyuklia.

Kikao hicho kimefanyika leo Mei 16, 2026 katika Ofisi Ndogo za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anaheshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba, Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga, Mtendaji Mkuu wa TANESCO, Bw. Lazaro Twange pamoja na wataalamu wengine kutoka wizarani.

#CloudsDigitalUpdates

46
1

Waziri mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta ya elimu kupitia ujenzi wa shule za amali na ufundi nchini kote ili kuwawezesha vijana kupata elimu yenye ujuzi na kujitegemea.

Amesema hayo leo Jumamosi, Mei 16, 2026 alipokuwa akikagua ujenzi wa Shule ya Ufundi ya Amali Kingale, Halmashauri ya Mji wa Kondoa mkoani Dodoma.

Waziri Mkuu amesema katika kipindi cha miaka minne hadi mitano, Serikali imejenga shule za amali 103 nchini kote ambapo shule 29 kati ya hizo ni za uhandisi, hatua ambayo amesema ni mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu ya ufundi nchini.

โ€œTangu uhuru tulikuwa na shule tano tu za ufundi, lakini Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika miaka yake minne hadi mitano amejenga shule 103 za amali, ishirini na tisa zikiwa za uhandisi. Hili ni jambo kubwa sana,โ€ amesema.

Aidha, Waziri Mkuu amesema Serikali iliamua kujenga shule hizo kwa nchi nzima kwa wakati mmoja ili kila mkoa unufaike na fursa hiyo ya elimu ya ufundi.

โ€œAlisema kila mkoa upate awamu ya kwanza na watoto waanze kusoma, na baada ya hapo itakuja awamu ya pili ya kumalizia,โ€ amesema.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amesema Serikali imeendelea kuajiri walimu wa sekta za elimu na afya ambapo ndani ya siku 100 pekee walimu 7,000 waliajiriwa wengi wao wakiwa wa masomo ya sayansi.

Pia, Waziri Mkuu amewahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii ili waweze kunufaika na mpango wa Samia Scholarship unaowawezesha wanafunzi wanaofanya vizuri kupata ufadhili wa masomo ndani na nje ya nchi.

โ€œUkifanya vizuri sana unapewa Samia Scholarship, huo sio mkopo unapewa fedha ya ufadhili wa kusoma na unachagua chuo chochote duniani,โ€ amesema.

46
2
16 hours ago

DILI NI AMANI

Katika dunia ya sasa inayokumbwa na changamoto za migogoro, ubaguzi, chuki na misuguano ya kijamii na kisiasa katika maeneo mbalimbali, ujumbe wa siku ya kimataifa ya Kuishi pamoja kwa amani inazidi kuwa muhimu zaidi kwa jamii zote, ikiwemo nchi zinazoendelea na zilizoendelea, katika kuimarisha mshikamano wa binadamu wote.

Siku hii huja kama wito kwa jamii kutafakari namna zinavyoishi pamoja, kujenga maelewano, na kupunguza tofauti zinazoweza kusababisha migogoro, huku zikihamasishwa kuwekeza zaidi katika mazungumzo, uvumilivu na kuheshimiana.

Katika maadhimisho haya, MWAJABU SHAFII na NURA MOHAMED wanakuletea muktadha maalum unaochambua umuhimu wa โ€œKuishi Pamoja kwa Amaniโ€, wakiangazia thamani ya amani katika maisha ya kila siku, nafasi ya jamii katika kujenga mshikamano, pamoja na mchango wa kila mtu katika kuleta dunia yenye upendo na maelewano.

Huu ni ujumbe unaotukumbusha kwamba tofauti zetu si sababu ya kutugawa, bali ni nguvu ya kujenga dunia yenye amani, ushirikiano na maendeleo endelevu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

๐Ÿ• Saa 1:00 jioni
@CloudsTv

30
12
16 hours ago

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania imefanikiwa kuwa Taifa katika miongo sita na si mkusanyiko.

Profesa Kabudi amesema hayo leo , Jumamosi Mei 16,2926katika kongamano la wanafunzi wa vyuo lenye kauli mbiu 'never again' tuipende, tuitunze , tuilindenchi yetu' lililofanyika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na TAHLISO mkoani hapa.

Mbali na hilo mnadhimu huyo wa Bunge, amesema Tanzania ni nchi ya kijamaa isiyokuwa na dini inayofuata misingi ya demokrasia kwa mujibu wa Katiba.

Kwa mujibu wa Profesa Kabudi, Tanzania ni Taifa lenye umoja na mshikamano ambapo wananchi wake wapo katikamakabila takribani 120 na wana dini mbalimbali wakiishi kwa utulivu.

Amesema katika Bara la Afrika Tanzania ndio nchi yenye mtengamano mkubwa wa kidini, ndio maana Katiba inasema Tanzania ni nchi ya kidemokrasia isiyo na dini, lakini watu wake wana dini.
โ€œTunaposema never again ni mtu asitake kuturudisha tena huko. Tanzania bila ubishi wowote ni Taifa ambalo limekuwa tayari kujitoa mhanga kutumia kile kidogo ilichokuwa nacho kuwakomboa wote waliokuwa wanaonewa na wasiokombolewa,โ€ amesema na kuongeza kuwa:

"Haya hayatuyaoni kwa sababu tumefanikiwa kuundaTaifa na si mkusanyiko wa makabila," amesema Profesa Kabudi.

109
38
16 hours ago

Just be you !! #Dadamubifadhi @cloudstv

185
1
17 hours ago

Msanii wa Hip Hop @pmawenge anasema muziki wa #HipHop haujawahi kuondoka ila wasanii wa Hip Hip ndo huwa wanaondoka na kuukuta.

Hivyo hivyo Clouds tunakwambia @mchongopesatz haijawahi kuondoka ipo kila siku na fedha pamoja na zawadi zinatoka kila kukicha.

Kama kawaida Jackpot zinaendelea kufanyika fanya maamuzi sahihi upate matokeo ya ushindi ambayo ni endelevuโ€ฆ

Tuma buku lako kwenda namba 321333, kumbukumbu ni neno Pesa.

#MeiMilioneaNaMchongopesa

352
12
17 hours ago

Leo#Cloudsmediagroup tunamsherehekea Malkia mwenye maono aliyethubutu na kuamini sauti za wanawake zina nafasi ya kusikika duniani. Mwanamke aliyebeba ndoto, akaigeuza kuwa nyumba ya maelfu ya wanawake kupata nafasi, kusikika na kuamini katika thamani iliyopo ndani yao kupitia #MalkiaChoiceFM.

Kwetu CMG wewe ni Mkurugenzi Mtendaji, Kiongozi mahiri, lakini kwa wengine wengi zaidi, Wewe ni Mwanga, Nafasi, Motisha, na Sababu ya wanawake wengi kusimama tena kwa kujiamini. Asante kwa kuwa sauti ya wanawake. Asante kwa kujenga familia ya Malkia kwa upendo, maono na moyo wa kipekee.

Asante Kukoleza Levels kwa Alama hii ya Kipekee (@malkiachoicefm ) itakayodumu vizazi na Vizazi. Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji, Malkia Choice Fm, Malkia wa Nguvu, Juhayna Ajmy Kusaga (@ajmy_inna)#Nyoosha2026

66
4
18 hours ago

๋น„๋ฐ€๋ฆฌ์— ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ์Šคํ† ๋ฆฌ ๋ณด๊ธฐ

์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ์Šคํ† ๋ฆฌ ๋ทฐ์–ด๋Š” ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ์Šคํ† ๋ฆฌ, ๋น„๋””์˜ค, ์‚ฌ์ง„ ๋˜๋Š” IGTV๋ฅผ ๋น„๋ฐ€๋ฆฌ์— ๋ณด๊ณ  ์ €์žฅํ•  ์ˆ˜ ์žˆ๋Š” ๊ฐ„๋‹จํ•œ ๋„๊ตฌ์ž…๋‹ˆ๋‹ค. ์ด ์„œ๋น„์Šค๋ฅผ ํ†ตํ•ด ์ฝ˜ํ…์ธ ๋ฅผ ๋‹ค์šด๋กœ๋“œํ•˜๊ณ  ์–ธ์ œ๋“ ์ง€ ์˜คํ”„๋ผ์ธ์œผ๋กœ ์ฆ๊ธธ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ์—์„œ ๋‚˜์ค‘์— ํ™•์ธํ•˜๊ณ  ์‹ถ์€ ํฅ๋ฏธ๋กœ์šด ์ฝ˜ํ…์ธ ๋ฅผ ์ฐพ๊ฑฐ๋‚˜ ์ต๋ช…์œผ๋กœ ์Šคํ† ๋ฆฌ๋ฅผ ๋ณด๊ณ  ์‹ถ๋‹ค๋ฉด, ์šฐ๋ฆฌ ๋ทฐ์–ด๊ฐ€ ์ ํ•ฉํ•ฉ๋‹ˆ๋‹ค. Anonstories๋Š” ์‹ ์›์„ ์ˆจ๊ธธ ์ˆ˜ ์žˆ๋Š” ํ›Œ๋ฅญํ•œ ์†”๋ฃจ์…˜์„ ์ œ๊ณตํ•ฉ๋‹ˆ๋‹ค. ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ์€ 2023๋…„ 8์›”์— ์Šคํ† ๋ฆฌ ๊ธฐ๋Šฅ์„ ์ถœ์‹œํ–ˆ์œผ๋ฉฐ, ์ด ๊ธฐ๋Šฅ์€ ํฅ๋ฏธ๋กญ๊ณ  ์‹œ๊ฐ„์— ๋ฏผ๊ฐํ•œ ํ˜•์‹์œผ๋กœ ๋น ๋ฅด๊ฒŒ ๋‹ค๋ฅธ ํ”Œ๋žซํผ์— ์ฑ„ํƒ๋˜์—ˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. ์Šคํ† ๋ฆฌ๋Š” ์‚ฌ์šฉ์ž๊ฐ€ ํ…์ŠคํŠธ, ์ด๋ชจ์ง€ ๋˜๋Š” ํ•„ํ„ฐ๋กœ ๋ณด๊ฐ•๋œ ์‚ฌ์ง„, ๋น„๋””์˜ค ๋˜๋Š” ์…€์นด๋ฅผ ๊ณต์œ ํ•  ์ˆ˜ ์žˆ๊ฒŒ ํ•ด์ฃผ๋ฉฐ, 24์‹œ๊ฐ„ ๋™์•ˆ๋งŒ ํ‘œ์‹œ๋ฉ๋‹ˆ๋‹ค. ์ด ์ œํ•œ๋œ ์‹œ๊ฐ„ ๋™์•ˆ ๋†’์€ ์ฐธ์—ฌ๋ฅผ ์œ ๋„ํ•˜๋ฉฐ ์ผ๋ฐ˜ ๊ฒŒ์‹œ๋ฌผ๋ณด๋‹ค ๋” ๋งŽ์€ ๋ฐ˜์‘์„ ์–ป์„ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. ์˜ค๋Š˜๋‚  ์Šคํ† ๋ฆฌ๋Š” ์†Œ์…œ ๋ฏธ๋””์–ด์—์„œ ์—ฐ๊ฒฐํ•˜๊ณ  ์†Œํ†ตํ•˜๋Š” ๊ฐ€์žฅ ์ธ๊ธฐ ์žˆ๋Š” ๋ฐฉ๋ฒ• ์ค‘ ํ•˜๋‚˜์ž…๋‹ˆ๋‹ค. ๊ทธ๋Ÿฌ๋‚˜ ์Šคํ† ๋ฆฌ๋ฅผ ๋ณผ ๋•Œ, ์ œ์ž‘์ž๋Š” ์ž์‹ ์˜ ๋ทฐ์–ด ๋ชฉ๋ก์—์„œ ๋‹น์‹ ์˜ ์ด๋ฆ„์„ ๋ณผ ์ˆ˜ ์žˆ์œผ๋ฉฐ, ์ด๋Š” ๊ฐœ์ธ ์ •๋ณด ๋ณดํ˜ธ์— ๋Œ€ํ•œ ์šฐ๋ ค๋ฅผ ์ผ์œผํ‚ฌ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. ๋งŒ์•ฝ ์Šคํ† ๋ฆฌ๋ฅผ ์•„๋ฌด๋„ ๋ชจ๋ฅด๊ฒŒ ํƒ์ƒ‰ํ•˜๊ณ  ์‹ถ๋‹ค๋ฉด? ๊ทธ๋•Œ Anonstories๊ฐ€ ์œ ์šฉํ•ด์ง‘๋‹ˆ๋‹ค. ์ด ๋„๊ตฌ๋Š” ์‹ ์›์„ ๋“œ๋Ÿฌ๋‚ด์ง€ ์•Š๊ณ  ๊ณต๊ฐœ๋œ ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ์ฝ˜ํ…์ธ ๋ฅผ ๋ณผ ์ˆ˜ ์žˆ๊ฒŒ ํ•ด์ค๋‹ˆ๋‹ค. ๊ด€์‹ฌ ์žˆ๋Š” ํ”„๋กœํ•„์˜ ์‚ฌ์šฉ์ž๋ช…์„ ์ž…๋ ฅํ•˜๋ฉด ํ•ด๋‹น ํ”„๋กœํ•„์˜ ์ตœ์‹  ์Šคํ† ๋ฆฌ๋ฅผ ํ™•์ธํ•  ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. Anonstories ๋ทฐ์–ด์˜ ํŠน์ง•: - ์ต๋ช… ๋ธŒ๋ผ์šฐ์ง•: ๋ทฐ์–ด ๋ชฉ๋ก์— ๋‚˜ํƒ€๋‚˜์ง€ ์•Š๊ณ  ์Šคํ† ๋ฆฌ๋ฅผ ๋ณผ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. - ๊ณ„์ • ํ•„์š” ์—†์Œ: ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ๊ณ„์ •์— ๊ฐ€์ž…ํ•˜์ง€ ์•Š๊ณ  ๊ณต๊ฐœ ์ฝ˜ํ…์ธ ๋ฅผ ๋ณผ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. - ์ฝ˜ํ…์ธ  ๋‹ค์šด๋กœ๋“œ: ์Šคํ† ๋ฆฌ ์ฝ˜ํ…์ธ ๋ฅผ ์ง์ ‘ ๋‹ค์šด๋กœ๋“œํ•˜์—ฌ ์˜คํ”„๋ผ์ธ์—์„œ ์‚ฌ์šฉํ•  ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. - ํ•˜์ด๋ผ์ดํŠธ ๋ณด๊ธฐ: 24์‹œ๊ฐ„ ์ œํ•œ์„ ๋„˜์–ด์„œ ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ํ•˜์ด๋ผ์ดํŠธ๋ฅผ ๋ณผ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. - ๋ฆฌํฌ์ŠคํŠธ ๋ชจ๋‹ˆํ„ฐ๋ง: ๊ฐœ์ธ ํ”„๋กœํ•„์˜ ์Šคํ† ๋ฆฌ ๋ฆฌํฌ์ŠคํŠธ๋‚˜ ์ฐธ์—ฌ๋„๋ฅผ ์ถ”์ ํ•  ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. ์ œํ•œ ์‚ฌํ•ญ: - ์ด ๋„๊ตฌ๋Š” ๊ณต๊ฐœ ๊ณ„์ •์—์„œ๋งŒ ์ž‘๋™ํ•˜๋ฉฐ, ๊ฐœ์ธ ๊ณ„์ •์€ ์ ‘๊ทผํ•  ์ˆ˜ ์—†์Šต๋‹ˆ๋‹ค. ์žฅ์ : - ๊ฐœ์ธ ์ •๋ณด ๋ณดํ˜ธ ์นœํ™”์ : ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ์ฝ˜ํ…์ธ ๋ฅผ ๋ณด๋ฉด์„œ๋„ ๋ˆˆ์— ๋„์ง€ ์•Š์Šต๋‹ˆ๋‹ค. - ๊ฐ„๋‹จํ•˜๊ณ  ์‰ฌ์›€: ์•ฑ ์„ค์น˜๋‚˜ ๋“ฑ๋ก์ด ํ•„์š” ์—†์Šต๋‹ˆ๋‹ค. - ๋…์  ๋„๊ตฌ: ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ์—์„œ ์ œ๊ณตํ•˜์ง€ ์•Š๋Š” ๋ฐฉ์‹์œผ๋กœ ์ฝ˜ํ…์ธ ๋ฅผ ๋‹ค์šด๋กœ๋“œํ•˜๊ณ  ๊ด€๋ฆฌํ•  ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค.

Anonstories์˜ ์žฅ์ 

์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ์Šคํ† ๋ฆฌ ๋น„๊ณต๊ฐœ๋กœ ํƒ์ƒ‰

์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ์—…๋ฐ์ดํŠธ๋ฅผ ๋น„๋ฐ€๋ฆฌ์— ์ถ”์ ํ•˜๊ณ  ๊ฐœ์ธ ์ •๋ณด๋ฅผ ๋ณดํ˜ธํ•˜๋ฉฐ ์ต๋ช…์œผ๋กœ ๋‚จ์„ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค.

๊ฐœ์ธ ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ๋ทฐ์–ด

๊ฐœ์ธ ํ”„๋กœํ•„ ๋ทฐ์–ด๋ฅผ ์‚ฌ์šฉํ•˜์—ฌ ์‰ฝ๊ฒŒ ํ”„๋กœํ•„๊ณผ ์‚ฌ์ง„์„ ์ต๋ช…์œผ๋กœ ๋ณผ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค.

๋ฌด๋ฃŒ ์Šคํ† ๋ฆฌ ๋ทฐ์–ด

์ด ๋ฌด๋ฃŒ ๋„๊ตฌ๋Š” ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ์Šคํ† ๋ฆฌ๋ฅผ ์ต๋ช…์œผ๋กœ ๋ณผ ์ˆ˜ ์žˆ๊ฒŒ ํ•ด์ฃผ๋ฉฐ, ์Šคํ† ๋ฆฌ ์—…๋กœ๋”์—๊ฒŒ ํ™œ๋™์„ ์ˆจ๊ธธ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค.

์ž์ฃผ ๋ฌป๋Š” ์งˆ๋ฌธ

์ต๋ช…์„ฑ

Anonstories๋Š” ์‚ฌ์šฉ์ž๊ฐ€ ์ธ์Šคํƒ€๊ทธ๋žจ ์Šคํ† ๋ฆฌ๋ฅผ ๋ณผ ๋•Œ ์ œ์ž‘์ž์—๊ฒŒ ์•Œ๋ฆผ์„ ๋ณด๋‚ด์ง€ ์•Š๋„๋ก ํ•ฉ๋‹ˆ๋‹ค.

๋””๋ฐ”์ด์Šค ํ˜ธํ™˜์„ฑ

iOS, Android, Windows, macOS, Chrome, Safari์™€ ๊ฐ™์€ ์ตœ์‹  ๋ธŒ๋ผ์šฐ์ €์—์„œ ์›ํ™œํ•˜๊ฒŒ ์ž‘๋™ํ•ฉ๋‹ˆ๋‹ค.

์•ˆ์ „์„ฑ ๋ฐ ๊ฐœ์ธ ์ •๋ณด ๋ณดํ˜ธ

๋กœ๊ทธ์ธ ์ •๋ณด ์—†์ด ์•ˆ์ „ํ•˜๊ณ  ์ต๋ช…์œผ๋กœ ๋ธŒ๋ผ์šฐ์ง•ํ•  ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค.

๋“ฑ๋ก ํ•„์š” ์—†์Œ

์‚ฌ์šฉ์ž๋Š” ๊ฐ„๋‹จํžˆ ์‚ฌ์šฉ์ž๋ช…์„ ์ž…๋ ฅํ•˜์—ฌ ๊ณต๊ฐœ๋œ ์Šคํ† ๋ฆฌ๋ฅผ ๋ณผ ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. ๊ณ„์ •์ด ํ•„์š”ํ•˜์ง€ ์•Š์Šต๋‹ˆ๋‹ค.

์ง€์› ํ˜•์‹

์‚ฌ์ง„(JPEG)๊ณผ ๋น„๋””์˜ค(MP4)๋ฅผ ์‰ฝ๊ฒŒ ๋‹ค์šด๋กœ๋“œํ•ฉ๋‹ˆ๋‹ค.

๋น„์šฉ

์ด ์„œ๋น„์Šค๋Š” ๋ฌด๋ฃŒ๋กœ ์ œ๊ณต๋ฉ๋‹ˆ๋‹ค.

๋น„๊ณต๊ฐœ ๊ณ„์ •

๋น„๊ณต๊ฐœ ๊ณ„์ •์˜ ์ฝ˜ํ…์ธ ๋Š” ํŒ”๋กœ์›Œ๋งŒ ์ ‘๊ทผํ•  ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค.

ํŒŒ์ผ ์‚ฌ์šฉ

ํŒŒ์ผ์€ ๊ฐœ์ธ์  ๋˜๋Š” ๊ต์œก์  ์šฉ๋„๋กœ๋งŒ ์‚ฌ์šฉ ๊ฐ€๋Šฅํ•˜๋ฉฐ ์ €์ž‘๊ถŒ ๊ทœ์ •์„ ์ค€์ˆ˜ํ•ด์•ผ ํ•ฉ๋‹ˆ๋‹ค.

์ž‘๋™ ๋ฐฉ์‹

๊ณต๊ฐœ๋œ ์‚ฌ์šฉ์ž๋ช…์„ ์ž…๋ ฅํ•˜์—ฌ ์Šคํ† ๋ฆฌ๋ฅผ ๋ณด๊ฑฐ๋‚˜ ๋‹ค์šด๋กœ๋“œํ•  ์ˆ˜ ์žˆ์Šต๋‹ˆ๋‹ค. ์„œ๋น„์Šค๋Š” ์ฝ˜ํ…์ธ ๋ฅผ ๋กœ์ปฌ์— ์ €์žฅํ•  ์ˆ˜ ์žˆ๋Š” ์ง์ ‘ ๋งํฌ๋ฅผ ์ƒ์„ฑํ•ฉ๋‹ˆ๋‹ค.